Daah sad kwa kweli walahi in ISIS voiceThug life ended his thugish life !!!
Mwambie anifundishe nifikishe 1400ahahahahah mwalimu kazin
Jamani jamaniii[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Ni wewe ulianza na kusifia misabwax ukaja na maneno yako ya parachichi mara chenza b
Kila mtu na bahati yakeDaah aisee huyo mzungu nae ana roho mbaya
Hahahahahaha aiseee maneno yamenirudiaMengine actually ni kama vile nimekukwoti mahali. Kumbuka vizuri kama ulishawahi kuandika maneno kama hayo mahali...Something about kitu chenye mafuta ya asili yenye joto orijino hivi.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Me niliususa ule uzi maana niliona hamba kitu.Kumbe ni Shunie? Watu walisubiri sana ha ha haaa. Halafu nawe. Ubuyu kama huu unaachaje kunitag? Ubuyu kama huu ukisoma lazima utabasamu, na kutabasamu daima ni jambo jema...
Shunie mwenyewe huwa anajivunia Baba D wake na kijana wao. Sasa mzee Gent kaamua kujiripua. Na ukorofi wake ule sipati picha. JF raha sana jamani !!!
(Sijui nami nikajiripue kwenye sredi?)
Hatariiii[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani shemeji ni balaa 1400
Mtaka cha uvunguni sharti abong'oeSijui kapoteza nini huyu binti...Benzi zuri though [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Kijana ambae alikua anakosoa balaa kila daile yupo anachekelea kwenye ignore list za isis haahahhaahJamani jamaniii[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Ila vya ukweli ukweli nimechangia kiasi fulani kumuathiri kijana wangu..
Kijana wangu mwenye kushika dini na mpole...
Eee muache bhana,misambwanda inakufanya ujisikie fresh,mchana kutwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]nisipokuwepo we nitag tu nitakujaNasubiria kwa hamu ukijilipua weuweeee itakua motooo
Muogaaaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sina huo ubavu. Yataka moyo ati !!!
Hetazi watasema fotoshopu[emoji23][emoji23]