Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mawasiliano ni mazuri kwa barabara ya lami kuanzia mji wa Dodoma kwenda Morogoro - Dar Es Salaam , pamoja na njia kuu kuelekea Tanzania ya Magharibi - Rwanda - Kongo na barabara ya kale ya " Cape Town - Cairo " inayopitia Dodoma kutoka kaskazini ( Arusha -
Kondoa ) kwenda kusini (Iringa ). Barabara nyingine ni za udongo tu.
Kuna pia njia ya reli ya kati kutoka Dar es Salaam kwenda Kigoma yenye matatizo ya mara kwa mara.
Dodoma ina uwanja wa ndege wa kitaifa na
vyuo vikuu, kikiwemo kile kikubwa zaidi Afrika Mashariki
 
Kwa maandishi naweza kana sipo hivyo huwez jua nipoje in real life ila nimekulia kwa mama mvumilivu sana so sina zile mbwembwe za fashen kila kinachoingia kukikurupukia.

Ila kuna ndugu yangu kateseka sana kwa kisanga kama hiki ila yeye mwisho wake ni kuachana
 
Lini mara ya mwisho ulikuwa Morogoro? Ni kweli, kuna baridi hapa Moro! Mabasi mbona mengi tu kutoka Dar? Uwe na weekend njema! Nafika hapo ulipo soon! [emoji23][emoji23]
Juzi tu nilikua huko,ila wewe hata hewa ya bongo hujaanza ivuta,shimba nilimhisi alipotua bongo,mida yake humu ilibadilika,wewe bado haijabadilika,muda si mrefu hapa utaaga kwenda kulala andaeitin bana

Uwe na weekend njema piaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…