carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Sijui ukojeCc. Vimbaumbau wote katika uzi huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekutetea moyoni[emoji124] [emoji124] [emoji124]Fulu magego naona. Hata kunitetea hakuna. Jizazi...[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Huku kwema kabisa shemeji. Jumamosi moja maridadi ajabu. Ndo nimetoka jogging ili kuslowisha uhenga. Life is good and yes Yote tunayafanya kupitia katika neema zake tu na si kingine. Msalimie dada na wapwa !!!Inawezekana kweli ila wewe ndo umenipoteza kabisaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Habari ya huko? Siku inakwendaje? Tumshukuru Mungu kwa kila jambo[emoji120] [emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aah mie sijasema kitu bana ila cole anaomba umuelekeze unapozitolea,usilete manyoka utatukimbiza wengine humu na likes hata sitatoa duh manyoka yanatisha
Software inakuwekea picha, jina na link ilikoitoa hiyo picha....Hahahahaa shimba ana data zote za hawa watu mpaka unajiuliza kuna forex ya misabwax nn maana si mchezo hadi majina
Mimi misambwanda nitavumilia tuAfadhali nyoka kuliko misambwanda. Maajabu ya karne [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ntautafuta huo uziKuna uzi Mshana Jr aliweka hatua kwa hatua kaisake. Inasaidia kuleta ukimya na order na kupunguza mtapanyo wa mawazo...
Tunataka tuwe na uwezo wa kusoma vijembe vya kwenye kanga bana. Mnatuharibia [emoji23][emoji23][emoji23]Sijui ukoje
Muone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wengine wale wa upande wa pili anakutajia hadi bei zao...Hahahahaa shimba ana data zote za hawa watu mpaka unajiuliza kuna forex ya misabwax nn maana si mchezo hadi majina
Tupe basi jina la hio software wajemenSoftware inakuwekea picha, jina na link ilikoitoa hiyo picha....
Tuhame wote ntabeba hata kapeti mieMimi misambwanda nitavumilia tu
Ila nyoka nahama uzi kabisa maana nikiona hata picha kamwili kanasisimka kwa uwoga[emoji17][emoji17][emoji17]
Hebu nionyeshe alichosema. Nina hamu ya kuwa kwenye ignore list yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti"aah mie sijasema kitu"
Numbisaaaaaaa
We hufai kabisa wewe
Mambo ya ajabu hahahahWengine wale wa upande wa pili anakutajia hadi bei zao...
Amen[emoji120] [emoji120] salaam zimefika. Imekuwa jioni tupo vibarazani tuHuku kwema kabisa shemeji. Jumamosi moja maridadi ajabu. Ndo nimetoka jogging ili kuslowisha uhenga. Life is good and yes Yote tunayafanya kupitia katika neema zake tu na si kingine. Msalimie dada na wapwa !!!
hahaha hhahah uniq ana kazi sana jaman kila kesi yeye[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umekuwa "uniq"?
Au umekuwa mwanafunzi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haki ya Mungu
Kamwili eeeh!Mimi misambwanda nitavumilia tu
Ila nyoka nahama uzi kabisa maana nikiona hata picha kamwili kanasisimka kwa uwoga[emoji17][emoji17][emoji17]
Make uo nini ile....Huo msamaha nautoa ndiyo bati du yu no whati wili folo?
Jamaniii[emoji134][emoji134][emoji134]Lete Manyoka!
Hahahahh aahhaha chezea kuletewa mapicha ya anakonda bora mitukunyema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti"aah mie sijasema kitu"
Numbisaaaaaaa
We hufai kabisa wewe