Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nilikuwa mwoga mno. Ooooh sijui watu watanifikiriaje. Mpaka niliposhuhudia mojawapo ya ligi zako hapa na ukasema kabisa kuwa you don't give a damn what other people think and that you are free. Ndipo ukombozi wangu ukanifungukia hapo. Yu a mai hiro kwa kweli !!!Mweee shimba alikua na ushujaa wake huko huko ananisingizia tu dah u slap it and watch it vibrate hahahah quote of the year
Itakuwa kinyume chake !!!Hahahahha akhuu kanisan kwetu hauruhusiwi maana utawahamishia chawamita kirahisiii kwan nani hapendag misabwax
Napokea hiyo baraka my dear brother!Mungu ni mwema. Kila kitu kitakuwa kama unavyotaka kiwe sis [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mpole humu alikua cole,anaibiwa na akina pimbi yupo tu anaangalia hahahaHapendi kukwaza watu mkoromije wa watu.
Ni mpole sana basi tu wewe umemuharibu[emoji23][emoji23]
Ni vema na ni haki walahi!Upo upande wa ushindi, upo upande ambao unatakiwa uufanyie kazi na uweze kushinda kwenye safari ya mafanikio.
Upande wa mafanikio upo, hilo unatakiwa kulijua kila wakati, nakukumbusha tena hutakiwi kukata tamaa au kujiona huwezi tena, mafanikio yako yapo.
Fanyia kazi haya na chukua hatua kuhakikisha ndoto zako zinatumia.
Ile unaanza kutoa ushuhuda tu kumbe mwakaleli yupo humo kanisani pia bila kumsahau cole wanatoa pingamizi na kukutaka ukajifikirie upya uamuzi wakoItakuwa kinyume chake !!!
Upole una mipaka yake. Siyo mke anaibwa we upo umekazana na parabozi, lyrics na mavideo ya Yutyubu...Upole ni kujua wakati gani upambane na kupigania haki zako na wakati gani upotezee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpole humu alikua cole,anaibiwa na akina pimbi yupo tu anaangalia hahaha
Huyu mkoromije sio mpole angekua mpole jakitoo angeshamponyoka zamaan
Aaaah hakuna kitu naogopankama funza aisee nikifa nitateseka sana wakati wa kuozaSi kuku pekee. Hata kwa binadamu. Kuna kabila moja huko Australia funza ndiyo chakula chao cha kila siku. Hawapatwi na magonjwa na wanaishi maisha marefu sana.
Moral of the story: Tuleni funza kwa afya zetu.
Prophetess walahi!
HahahahaAaaah hakuna kitu naogopankama funza aisee nikifa nitateseka sana wakati wa kuoza
Nilikuwa mwoga mno. Ooooh sijui watu watanifikiriaje. Mpaka niliposhuhudia mojawapo ya ligi zako hapa na ukasema kabisa kuwa you don't give a damn what other people think and that you are free. Ndipo ukombozi wangu ukanifungukia hapo. Yu a mai hiro kwa kweli !!!
Hiyo quote mh...ni mojawapo ya faida ya misambwanda hiyo hasa ukiupata ule laini mning'inio. Mtikisiko wake ni 10 kwenye Richter scale na waweza dhani kuwa hutakufa wallahi !!!
hahahahah kijana mpole asiione hiii bonge la makavu laivuUpole una mipaka yake. Siyo mke anaibwa we upo umekazana na parabozi, lyrics na mavideo ya Yutyubu...Upole ni kujua wakati gani upambane na kupigania haki zako na wakati gani upotezee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si kuku pekee. Hata kwa binadamu. Kuna kabila moja huko Australia funza ndiyo chakula chao cha kila siku. Hawapatwi na magonjwa na wanaishi maisha marefu sana.
Moral of the story: Tuleni funza kwa afya zetu.
Akushike na mkono kabisa tena ikiwezekana awe anakufundisha na neno kila siku sehemu tulivu[emoji23][emoji23][emoji23]Numbisa ndiyo anipeleke kanisani ikibidi. Wiki nzima tukiwa kanisani kama wakati ule wa Valentine alipodai alikuwa kwenye Jumatano ya majivu isiyoisha itapendeza ajabu. Nitaokoka mazima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haka katoto kanachekesha niliiona hii picha sehemu nikachekaaa
Kumbe kuwakomesha ni kuweka picha za funza na nyoka. Saaaaaaafiii !!!Aaaah hakuna kitu naogopankama funza aisee nikifa nitateseka sana wakati wa kuoza
Bro wangu hana shida. Atarusha kaparabo kiaina tu basi anacheka na kwenda zakeHah
hahahahah kijana mpole asiione hiii bonge la makavu laivu