Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kila mtu ana uhuru wa kupost akipendacho,hicho unacholalamikia kimepostiwa usiku wa manane hivyo haituhusu inawahusu wanaopenda misabwax na kuhusu sie ku like si mbaya hatupangiwi cha ku like na cha kuto like

Mkuu sion haja ya wewe kutoa povu lote hilo,haupend kitu potezea wapo wanaokipenda.

Life is too short kufatilia yasiyokuhusu

Pia sema NUMBISA SIO MUMBISA
 
Watu wengine bana
 
Subiri nifikishe miaka 53 (ikiwa tu sitapata mtu wa kunibebisha) mtanikoma... Bado kidogo tu
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji124] [emoji124] kila mtu atauchukuaa...[emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji445] [emoji442]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…