Safi kabisa sasa nione unamuomba isis apost kanyoka narundika mende kibao tena yale makubwa makubwa hahahahNawacheki waoga wa nyoka. Darasa la sita nilimkanyaga mmoja akaniuma kidogo nife. Siwapendi ila siwaogopi na waombe sana nisifike China siku moja...[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi mkiposti mende tu hamtaniona hapa ng'o !!!
Wa kwetu Tanzania hao ndugu yangu!lakin nyoka wako wazur nahis ni wakidhungu ao sio wale wa Nanyamba kule mtwara
HahahahahMkuu kidogo nishtuke. Kumbe unaongelea paka ...huuuuu!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Naogopa sana mende mkuu. Kuna yale makubwa huwa yanarukaga aisee. Nikiliona nyumbani siwezi kulalamo kabisa...wewe ni nan [emoji15] [emoji15] unaogopa mende hahaha
HahahahaSafi kabisa sasa nione unamuomba isis apost kanyoka narundika mende kibao tena yale makubwa makubwa hahahah
Mende siwaogopi ndo kwanza nikiwaona nawabamiza kwa kiatu au mguu kanyaga hahahah
HahahahaNaogopa sana mende mkuu. Kuna yale makubwa huwa yanarukaga aisee. Nikiliona nyumbani siwezi kulalamo kabisa...
Phobia zingine hata hazielezeki aisee....
Wewe unaogopa nini?
mim naogopa nyoka japo nimewaona sana mtwara ola nashindwa kuwazoea,,,kingine ile mijus ya choon naichukia sana uwa inaangalia mtu ukiwa unajisaodia au kuogaNaogopa sana mende mkuu. Kuna yale makubwa huwa yanarukaga aisee. Nikiliona nyumbani siwezi kulalamo kabisa...
Phobia zingine hata hazielezeki aisee....
Wewe unaogopa nini?
Hahahahamim naogopa nyoka japo nimewaona sana mtwara ola nashindwa kuwazoea,,,kingine ile mijus ya choon naichukia sana uwa inaangalia mtu ukiwa unajisaodia au kuoga
Ukibandika mamende nami najibu na manyoka halafu natimka mbio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safi kabisa sasa nione unamuomba isis apost kanyoka narundika mende kibao tena yale makubwa makubwa hahahah
Mende siwaogopi ndo kwanza nikiwaona nawabamiza kwa kiatu au mguu kanyaga hahahah
Leo mwisho jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hakuna namna
Huyu domestic!Ukibandika mamende nami najibu na manyoka halafu natimka mbio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
No. The most correct answer is widow [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IndeedNi uhuru na utashi wako mkuu na una uhuru kabisa wa kufanya hivyo ali mradi tu hujalazimishwa na mtu. Utashi ndiyo unatutofautisha Homo Sapiens na wanyama wengine.
Karibu my dearAhsante sana Queen wetu
Ubarikiwe sanaa