Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani hapo kwenye kichwa ndo pananipa mawazo[emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23]

Me bado kamoyo kanadunda kama kawaida na napumua,namshukuru Mungu kwakweli si wote tuliopata bahati ya kuliona jua la leo likichomoza[emoji120][emoji120]
Hiki kichwa kisikupe mawazo...achana nacho,kisije kukuumiza bureee.
 
Mafigo yametengenezwa yawe mfano wa chombo cha kuchujia maji. Kazi yake ni kuchuja maji na kutoa uchafu na vitu vyote visivyohitajika mwilini vilivyochukuliwa na damu katika mizunguko yake. Maji hayo pamoja na vitu hafifu vilivyomo ndiyo mkojo.
 
Mafigo yameshehenezwa na vifereji vilivyonyongwanyongwa, navyo vyote huunganika pamoja kufanya bomba lile litokalo katika kila figo na kufika katika kibofu cha mkojo. Kutoka huko mkojo hutolewa nje kwa mshipa wa kupitia mkojo na uume/uke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…