Shwain kweli kweli walahi!Kunguru hawa ndio walio leta ile methali isemayo "kunguru muoga...hagongwi na gari"
Sio hawa weusi shwuani zao wamejaa kiburi na tabia za udokoziView attachment 708858View attachment 708859
HahahahaVitamin
BAK[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji39] [emoji39]
BAK[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji39] [emoji39]
Shwain kweli kweli walahi!
Wametafuna mayai ya ndege asilia!
Ikifika hapo, Yule wa awamu ya pili hapana kabisa kabisa jamani!
Kunguru wetu pendwa,taswira sahihi ya mwanaume mtana shati.View attachment 708892 View attachment 708890 Hebu mwone KUNGURU WA ASILI TANZANIA!
MAJESTIC walahi!
Amu sipichilesi kwa kweli.Mugongo kwa mugongo Mkuu.