Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tumetoka mbali!
Hao ndiyo KUNGURU wetu Dar es Salaam!
Mwinyi akaenda akatuletea wale wa Pakistan!
Yaani Maulana Mola wangu ingilia kati walahi!

Hao wa Pakistan wamegeuka janga kwa kweli; na kuwaangamiza haiwezekani.

Kule Florida ilikuwa kama fasheni kufuga vitoto vya chatu kutoka Burma. Vitoto hivi hata hivyo vinakua baadaye na kuwa majoka makubwa sana. Wakawa wanayatupa yakikua. Leo hii Burmese python limegeuka janga kubwa la kimazingira kwa sababu wanakula kila kitu - sungura, ndege, nyoka wenyeji, panya, samaki na kila kitu kinachotembea. Leo ukiliua lichatu limoja unalipwa mpaka hata dola 500 kutegemea na ukubwa. Ma hillbillies kutoka Alabama huko wapo wamepiga kambi wanayawinda machatu haya pamoja na ukweli kwamba juhudi hizo hazitasaidia lolote...
hanslowe-2015-large-python-training.jpg
 
View attachment 708996
Duh hatari
 
Huyu rais wa sasa mkorofi kama wababa wa kikoromije pyuuuaaaaa
Wababa wa Kikoromije siyo wakorofi. Tunajulikana kwa upole, mapenzi ya kweli na kujali familia...Na kupenda wanawake warefu weupe wenye misambwanda [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Wapo wapole ila wachache hawa utakuta kama wameoa baasi wanatawaliwa kweli na wake zao hadi huruma ila wengi ni wababe yaan hawa hata mtoto kumsogelea ni kosa,hawa unaenda mtengea iwe chakula au maji goti lazima na kuinuka mpaka akuruhusu

Kula nao haiwezekan maana yeye ni baba hivyo kula watoto na mke anakula kivyao baba anakula kivyake tena nyama za kutosha hata kama mboga ni ndogo mchuzi si upo so watoto wale ugali na mchuzi tu
 
Hao wa Pakistan wamegeuka janga kwa kweli; na kuwaangamiza haiwezekani.

Kule Florida ilikuwa kama fasheni kufuga vitoto vya chatu kutoka Burma. Vitoto hivi hata hivyo vinakua baadaye na kuwa majoka makubwa sana. Wakawa wanayatupa yakikua. Leo hii Burmese python limegeuka janga kubwa la kimazingira kwa sababu wanakula kila kitu - sungura, ndege, nyoka wenyeji, panya, samaki na kila kitu kinachotembea. Leo ukiliua lichatu limoja unalipwa mpaka hata dola 500 kutegemea na ukubwa. Ma hillbillies kutoka Alabama huko wapo wamepiga kambi wanayawinda machatu haya pamoja na ukweli kwamba juhudi hizo hazitasaidia lolote...
View attachment 708996
Kuna chakula cha ndege kinawekwa juu ya magorofa marefu, Dar, kunguru wa Pakistan akila anakufa, lakini ndege wengine hawafi!
Hawa wazungu ni hatari walahi!
Hivyo kunguru wa Parkistani wanapuputika kweli kweli walahi!
 
Back
Top Bottom