Kwa kweliMfalme kwenye ubora wake
Kwa kweli kweliMfalme mwenyewe
In Almighty One speedMungu aendelee kutupigania bila kuchoka kwa kweli. Tuwarudishe kunguru wetu,nembo ya mtu mweusi mtanashati.
Rejea uvaaji wa Wamalawi na Wazambia ambako bado kunguru wenye ueupe na yange yange wametapakaa mijini na vijijini
Kwani najuaga basi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani ni wa hovyo kabisa hawa[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui hata wakiiba wanapelekaga wapi
HahahahaMsema kweli mpenzi wa Mungu, napenda sana kuangalia neema za Muumba alizo zishusha kwa dada zetu.
Umri wangu umekuwa kikwazo sana kwa kweli,naonekana babu nisie jiheshimu nikifumaniwa nakodolea mimacho kwenye msambwax[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
In Almighty One speedMungu atupe siku njema