Teh!!In BAK voice
Haahha sana tu kama shimba wa mwanzon yuleee na avatar yake ya koromije orijino
Mungu aendelee kutupigania bila kuchoka kwa kweli. Tuwarudishe kunguru wetu,nembo ya mtu mweusi mtanashati.Hahahaha mbavu zangu jamani andjul hahahaha!
Ni kweli kabisa!
Hawa ndege huwa wana very huge psychic powers!
Sasa kuwaleta wa kipakistan ndiyo maana mambo yakawa hivyo walahi!
Uumbaji huwa unajitegemea wenyewe!
Mange ana kamwili kadoogo sana.Amebeba lingoma hilooo,likipigwa kila mtu anacheza kwa style yake.Rais @MagufuliJP "Wapo watu wanapenda tuache kufanya kazi tuende barabarani tukaandamane,ngoja wafanye waone,Kama kuna watu wanawatuma wataenda kuwasimulia vizuri".[HASHTAG]#Mwananchi[/HASHTAG]
Ole wako uanike kyupi bila vibanio,huikutiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hawa kunguru wezi kama nini sijui wanaiba hadi vijiko,hovyo kabisa!!!
Yaani anawachezesha mziki kwa style anayoitaka mwenyewe na wanacheza.Mange ana kamwili kadoogo sana.Amebeba lingoma hilooo,likipigwa kila mtu anacheza kwa style yake.
[emoji124] [emoji124] kahaba wa mdomo ni mbaya sana kuliko kahaba wa aina nyingine yoyote.
**TANZANIA YA AMANI,MAKAZI SALAMA YA NAFSI ZETU**
Siku ya hukumu wengi tutakuja baki tuna ng'aa ng'aa macho tu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahah nani sasa atakuuliza wakati umeshakufa
Yaani ni wa hovyo kabisa hawa[emoji23][emoji23][emoji23]Ole wako uanike kyupi bila vibanio,huikutiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Msema kweli mpenzi wa Mungu, napenda sana kuangalia neema za Muumba alizo zishusha kwa dada zetu.Mtumeeeeee
Kwema kabisa braza.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Halafu kamwaga unga kabisa. Akifika home sipati picha. Kwema ndugu yangu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msema kweli mpenzi wa Mungu, napenda sana kuangalia neema za Muumba alizo zishusha kwa dada zetu.
Umri wangu umekuwa kikwazo sana kwa kweli,naonekana babu nisie jiheshimu nikifumaniwa nakodolea mimacho kwenye msambwax[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] hapo sasa... Mimi siulizagi maswali ya hovyo hovyo ili nisije jibiwa ki hovyo hovyo