Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20180309_172302_914.jpg
 
Wapo wapole ila wachache hawa utakuta kama wameoa baasi wanatawaliwa kweli na wake zao hadi huruma ila wengi ni wababe yaan hawa hata mtoto kumsogelea ni kosa,hawa unaenda mtengea iwe chakula au maji goti lazima na kuinuka mpaka akuruhusu

Kula nao haiwezekan maana yeye ni baba hivyo kula watoto na mke anakula kivyao baba anakula kivyake tena nyama za kutosha hata kama mboga ni ndogo mchuzi si upo so watoto wale ugali na mchuzi tu
Unaongelea mambo ya zamani sana. Kizazi hicho ndo kinaishilia. Kwa sasa tupo poa balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dictator uchwara in ......voice[emoji23][emoji23]

Kumbe wababa wa kikoromije ni wakorofi eeh?
Usimsikilize. Mtu mwenyewe kakulia mjini familia ya kishua hata Kikoromije hakijui haya yote kayajulia wapi? Si ajabu ni stori za boarding school wakiboreka huko mabwenini wanaanza kufungana kamba....
 
Back
Top Bottom