Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Tumetoka mbali!
Hao ndiyo KUNGURU wetu Dar es Salaam!
Mwinyi akaenda akatuletea wale wa Pakistan!
Yaani Maulana Mola wangu ingilia kati walahi!
Duh hatariHao wa Pakistan wamegeuka janga kwa kweli; na kuwaangamiza haiwezekani.
Kule Florida ilikuwa kama fasheni kufuga vitoto vya chatu kutoka Burma. Vitoto hivi hata hivyo vinakua baadaye na kuwa majoka makubwa sana. Wakawa wanayatupa yakikua. Leo hii Burmese python limegeuka janga kubwa la kimazingira kwa sababu wanakula kila kitu - sungura, ndege, nyoka wenyeji, panya, samaki na kila kitu kinachotembea. Leo ukiliua lichatu limoja unalipwa mpaka hata dola 500 kutegemea na ukubwa. Ma hillbillies kutoka Alabama huko wapo wamepiga kambi wanayawinda machatu haya pamoja na ukweli kwamba juhudi hizo hazitasaidia lolote...
View attachment 708996
Wababa wa Kikoromije siyo wakorofi. Tunajulikana kwa upole, mapenzi ya kweli na kujali familia...Na kupenda wanawake warefu weupe wenye misambwanda [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Huyu rais wa sasa mkorofi kama wababa wa kikoromije pyuuuaaaaa
Wapo wapole ila wachache hawa utakuta kama wameoa baasi wanatawaliwa kweli na wake zao hadi huruma ila wengi ni wababe yaan hawa hata mtoto kumsogelea ni kosa,hawa unaenda mtengea iwe chakula au maji goti lazima na kuinuka mpaka akuruhusuWababa wa Kikoromije siyo wakorofi. Tunajulikana kwa upole, mapenzi ya kweli na kujali familia...Na kupenda wanawake warefu weupe wenye misambwanda [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Dictator uchwara in ......voice[emoji23][emoji23]Huyu rais wa sasa mkorofi kama wababa wa kikoromije pyuuuaaaaa
Masupa staa wavumilivu na wasiosikia udaku wa mitaani kwenye mapenzi yaoPawa kapo...
View attachment 708480
Mfalme kwenye ubora wake
Mfalme mwenyewe
[emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736]
In BAK voiceDictator uchwara in ......voice[emoji23][emoji23]
Kumbe wababa wa kikoromije ni wakorofi eeh?
Kuna chakula cha ndege kinawekwa juu ya magorofa marefu, Dar, kunguru wa Pakistan akila anakufa, lakini ndege wengine hawafi!Hao wa Pakistan wamegeuka janga kwa kweli; na kuwaangamiza haiwezekani.