Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Damu (kutoka neno la Kiarabu) ni kiowevu katika mwili wa binadamu na wanyama. Inazunguka mwilini ndani ya mishipa ya damu ikisukumwa na moyo kwa lengo la kumwezesha kuishi.
 
Kazi ya tishu hiyo ni kupeleka lishe na oksijeni kwa seli za mwili na kutoa daioksaidi ya kaboni pamoja na uchafu mwingine kutoka seli.
 
Usimtishe bwana, ahera ipo tu.. Mzee wa liver usihofu mie pia ntaunga tela.
 
Ndani ya damu kuna utegili (kwa Kiingereza plasma) ambao ni kiowevu chake pamoja na seli za damu nyekundu na nyeupe. Seli nyekundu hubeba oksijeni wakati daioksaidi ya kaboni hubebwa na utegili. Seli nyeupe ni kama walinzi wa mwili wa kupambana na magonjwa. Pia kuna chembe sahani.

Mtu mzima huwa na damu lita 6 mwilini
 
Kati ya viumbe wenye uti wa mgongo, damu imetengenezwa kwa seli za damu zinazoelea katika umajimaji unaoitwa plasma ya damu. Plasma, inayoundwa kwa 55% ya giligili ya damu, ambayo hasa ni maji (90% kwa kiasi), [1] na ina protini, glukosi, ioni za madini, homoni, dioksidi ya kaboni (Plasma ikiwa ndiyo chombo kikuu cha usafirishaji wa bidhaa taka),
 
chembe za kugandisha damu na seli za damu zenyewe. Seli za damu zilizo kwenye damu hasa ni seli nyekundu za damu (zinazofahamika pia kama RBC yaani Red Blood Cells au erithrosaiti) na seli nyeupe za damu, zikiwa pamoja na lukosaiti na chembe za kugandisha damu.
 
Damu (kutoka neno la Kiarabu) ni kiowevu katika mwili wa binadamu na wanyama. Inazunguka mwilini ndani ya mishipa ya damu ikisukumwa na moyo kwa lengo la kumwezesha kuishi.
 
Ndani ya damu kuna utegili (kwa Kiingereza plasma) ambao ni kiowevu chake pamoja na seli za damu nyekundu na nyeupe. Seli nyekundu hubeba oksijeni wakati daioksaidi ya kaboni hubebwa na utegili. Seli nyeupe ni kama walinzi wa mwili wa kupambana na magonjwa. Pia kuna chembe sahani.

Mtu mzima huwa na damu lita 6 mwilini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…