Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu naomba tuendelee na maisha tuliyo yazoea,wadudu hawa wa hatari kuonyeshana usiku si vizuri.
Namlaumu sana carba kwa picha aliyoileta,najua hata yeye alikuwa hajui kama ile ni picha ya mende.
Hata kama utaangalia kwa umakini sana hiyo picha sio MENDE,ni nzi mkubwa...
Rudia kuiangalia tena na tena kwa utulivu na kwa umakini kabisa,utagundua tu.

Tupo pamoja Shimba mzee baba,kokolochi ini da hausi beibiii....yu no woti amu seyingi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huu uzi unanisaidia sana kupunguza mawazo kwakweli.
Mbarikiwe wote mliomo kwenye uzi huu[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Nope !!!

Siogopi mende kihivyo...

I know you are joking ila kama kuna mtu yuko siriazi na haya maphobia na hasa hizi picha aseme. Nilikuwa nimekusanya gif za majoka hapa yakimeza wanyama basi ngoja niyafute tu...

Baadaye wapendwa. Jogging time.....
 
Umeona eeh! Nami ni hivyo siku nikichoka kule kwenye uzi wa kuudhi siasani basi huwa hapa muda mwingi sana kama nafasi inaruhusu. Kule siasani ni purukushani mtindo mmoja mwanzo mwisho.

Huu uzi unanisaidia sana kupunguza mawazo kwakweli.
Mbarikiwe wote mliomo kwenye uzi huu[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Unataka nilianzishe hapa??
Naweza ujue[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hali niliyonayo kwa sasa kwa kweli lianzishe tu ...ila tu uwe mwangalifu. Kuna kanuni ya kerezo - hukata kote kote !!! [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Umeona eeh! Nami ni hivyo siku nikichoka kule kwenye uzi wa kuudhi siasani basi huwa hapa muda mwingi sana kama nafasi inaruhusu. Kule siasani ni purukushani mtindo mmoja mwanzo mwisho.
Huwa nakusomaga huko kimya kimya mpaka natikisa kichwa halafu ukija huku mpole huna maneno na mtu. Nawapa heko nyie mnaoweza kukaa huko siasani zaidi ya nusu saa. Mi siwezi !!!
 
Shemeji mimi nasema hivii siwezi teseka pekeyangu humu,acha tuteseke wote.

Ika nimependa hapo kwenye kuiangalia tena na tena kwa umakini[emoji23][emoji23][emoji23]

Naacha situmi tena hii ya mwisho maana mende mwenyewe kafa[emoji125] [emoji125] [emoji125]

SHIMBA YA BUYENZE
Nisamehe baba'ngu
 
Mimi niko siriazi na hayo majoka kwakwelinaogopa.
Tafadhali usiweke[emoji120][emoji120]
 
Siogopi mende kihivyo na huyu hapa nimemkazia macho anajigeuza geuza tu hana lolote. Uzuri wa hawa hawaumi siyo kama majoka yenu...

Mimi nimeshaacha picha za majoka ila nimejifunza something...Imagine kama kweli ningekuwa na phobia kali ya mende...LOL !!!
 
What a SUCCESS! WOW! In less than a Month!!!! The total budget is $200 millions

The film is now the United States’ ninth domestically highest-grossing film of all time, and had the second-largest four-day domestic opening weekend. “Black Panther” brought in $242 million in the U.S. over Presidents Day weekend, behind the $288 million “Star Wars: The Force Awakens” made when it opened in 2015.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…