Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mimi situmi tena.
Ila phobia ya nyoka ninayo kweli.
Hapa nilipo kuna ka korido hapo nje lazima nipite na tangu juzi kuna kajoka hapo kanaranda sasa nawaza ikatokea napita usiku wa manane na kaumeme kamekatika,nafwaaa kwa uwoga[emoji24][emoji24]
 
Na mimi muhenga mwenzio leo unanitia kwenye uYego. Zisi izi noti fea hasa ukizingatia kuwa nawe una kashfa ya kuvunja ndoa ya Yego mmoja hapo !!!
Mimi??? Ndoa ya yego[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi kwenye harakati zake huku akisindikizwa na vimaua vya kichoyo na viglasi nusu mvinyo mwekundu amewahi kufanikiwa hata siku moja?

Data given:
1.Pimbi=failure(carba's formula)
2.Kichwa kichwa= Pimbi
3.Cole Williams=Kichwa kichafu
4.Yegomasika=Cole Williams

Since 4=3,3=2,2=1...
Therefore 4=1(by similarities formula)

[emoji124] [emoji124] [emoji124] Pole sana andaetini wetu[emoji120] [emoji120]
 
LOL! Inasikitisha Mkuu kuona nchi yetu ambayo kwa maoni yangu kutokana na utajiri mkubwa wa rasilimali ilitakiwa iwe inafanya vizuri sana kwenye kila sekta sasa imekuwa ni kichwa cha mwendawazimu. Kuna wakati huwa nataka kubwanga manyanga lakini nikikumbuka maneno ya Baba wa Taifa nasema acha tu nipambane. Na huu waraka wa Maaskofu umenipa nguvu mpya kumbe watu kama BAK hatupo pekee yetu maana tunaambiwa siye ni wapiga maadili, tuna bifu na jamaa wakati ukweli hauko hivyo. Huyu akifanya mazuri kwa faida ya Watanzania wote bila ubaguzi mie nitakuwa wa kwanza kusimama na kupiga makofi.

Bunge likiachwa lifanye kazi yake kama Bunge kwa faida ya Watanzania mie nitapongeza, mahakama zikiwa huru kwenye maamuzi yake mie nitapongeza. Mshikamano miongoni mwetu ukipaliliwa badala ya kuvunjwa vunjwa kwa faida yetu na vizazi vyetu vijavyo mie nitapongeza. Watanzania wakipewa uhuru wa kuikosoa Serikali na viongozi wake na pia vyama vya upinzani kuachiwa kufanya yao kama katiba inavyoruhusu mie nitapongeza lakini mhhhh! Ngoja niishie hapa Mkuu kule siasani nimepumzika saa hizi.

Huwa nakusomaga huko kimya kimya mpaka natikisa kichwa halafu ukija huku mpole huna maneno na mtu. Nawapa heko nyie mnaoweza kukaa huko siasani zaidi ya nusu saa....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu muache pimbi wangu.
Pimbi kapata mke mtaa wa pili hapo na ako na michepuko mingi sana mmu huko.
Pimbi ni team fisi.
Hapo naona cole=yego=failure[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
No one expected such a huge success for this movie. I hope all participants in this movie will get a huge bonus pay from Disney.

 
Ina maana hata hukumbuki ndoa uliyowahi kuvunja humu mpaka watu wakakupachika jina la uungwana?

Kwa wajuzi wa hesabu, hebu njooni mkokote hapo. Mi nimetoka kapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Naona BAPA linakufanya u derive mafomula ya ajabu ajabu! [emoji23][emoji23]
 
Hahahahahahaha lol! Pimbi huku ni endearment word kule ni tusi 🙂🙂 What a difference!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu muache pimbi wangu.
Pimbi kapata mke mtaa wa pili hapo na ako na michepuko mingi sana mmu huko.
Pimbi ni team fisi.
Hapo naona cole=yego=failure[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu muache pimbi wangu.
Pimbi kapata mke mtaa wa pili hapo na ako na michepuko mingi sana mmu huko.
Pimbi ni team fisi.
Hapo naona cole=yego=failure[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

[emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️ Jamani! Sisi tuliamua kuwa wagumu! Hakuna failure hapo!
 
Sawa na pole mkuu...

Kuna makala naziandika pengine nitakupa uzisome kwanza kabla sijazipeleka ninakotaka kuzipeleka, halafu unipe maoni yako. Viongozi wa Afrika wana matatizo yanayofanana fanana. Najaribu kudodosa tatizo lilipo na masuluhisho yake...kwa mtazamo wa kisaikolojia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…