carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23]Hapo YEGO anaona kama picha ya guruguja tu akiota jua! Chezea mgumu weye! [emoji23][emoji23]
Zamani nilikuwa napenda sana kuwaona wenye vichwa vikubwa "komo" nikiamini wana akili sana.andjul atazunguka na avatar nyingine kisha atarudi kwenye hii ambayo anaipenda kuliko yoyote ile.
Hapana. Mkulima wa nyanya kutoka Koromije niwe na access ya wapi ndugu yangu? Nimemsoma Noam Chomsky sana na ana mawazo mazuri kweli kuhusu baadhi ya matatizo ya viongozi wa Afrika. Wakati mwingine mpaka inauma ndiyo maana huwa najitenga na hayo. Kikwete aliniumiza sana alipokubali kutia sahihi sheria ya makosa ya mtandao mwishoni kabisa ya utawala wake; na hivyo kuharibu mojawapo ya iliyopaswa kuwa legacy kubwa kwa nchi yake. Imagine kama angeuacha ule mchakato wa katiba mpya ukaenda mpaka mwisho na akatuacha na katiba mpya. Legacy yake ingekuwaje katika historia ya nchi yetu? Aaaaaargh...!!!
Zamani nilikuwa napenda sana kuwaona wenye vichwa vikubwa "komo" nikiamini wana akili sana.
Jirani yangu ana kichwa cha hivyo,muda wote ni kufoka foka tu...
Napenda sana kukiangalia,mdomo wake ulivyo nahisi kama unakaripia,kwa hiyo nashtuka naendelea na shughuli zangu...
"guruguja"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapo YEGO anaona kama picha ya guruguja tu akiota jua! Chezea mgumu weye! [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwambie tu akufungulie
[emoji23][emoji23]
Hapo miudenda inakutoka halafu wasema eti"naona kama picha ya guruguja"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwendaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23]Embu mwambie afungue aone hata kama tutapiga hodi! Tunapita tu kama “tunaria” vile! [emoji23][emoji23]
Hapana. Mkulima wa nyanya kutoka Koromije niwe na access ya wapi ndugu yangu? Nimemsoma Noam Chomsky sana na ana mawazo mazuri kweli kuhusu baadhi ya matatizo ya viongozi wa Afrika. Wakati mwingine mpaka inauma ndiyo maana huwa najitenga na hayo. Kikwete aliniumiza sana alipokubali kutia sahihi sheria ya makosa ya mtandao mwishoni kabisa ya utawala wake; na hivyo kuharibu mojawapo ya iliyopaswa kuwa legacy kubwa kwa nchi yake. Imagine kama angeuacha ule mchakato wa katiba mpya ukaenda mpaka mwisho na akatuacha na katiba mpya. Legacy yake ingekuwaje katika historia ya nchi yetu? Aaaaaargh...!!!
Naomba muendelee kujadili japo kwa majibizano zaidi tafadhali.Msiishie tu kwenye hizi komenti mbiliKabisa Mkuu niliandika humu kwamba pamoja na mapungufu yake yote Kikwete mpaka kuitwa DHAIFU lakini kama angeachia katiba mpya ifikie tamati na Watanzania kupata katiba ya rasimu ya Warioba na Tme huru ya uchaguzi angejizolea sifa kubwa sana si kwa Watanzania tu bali Afrika na Dunia nzima. Pia niliandika kama wewe kwamba legacy yake ingekuwa kubwa sana kuliko hata ya Baba wa Taifa lakini akakubali kusikia maneno ya watu wenye ufinyu wa mawazo na hivyo kuamua kuchakachua zoezi zima la kupata katiba mpya ili tu kukinusuru chama chake na kulinda ngvu kubwa aliyokuwa nayo Rais katika maamuzi mbali mbali. Pamoja na kutumia zaidi ya bilioni 100 kwenye zoezi lile lakini hatukuambulia chochote Mkuu.
M m mh...mende!Inasemekana mende ni wasafi sana.
Wakishakugusa hukimbilia kujisafisha eti.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti unaogopa memde mayooooo
Hongera basi[emoji23][emoji23][emoji23]Aisee, amini amini nakuambia; YEGO ni mgumu! Si mchezo. [emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja aje nifikishe huu ujumbe