Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani watanzania bhana.
Huwa tunasahau mapema sana.
Wiki chache zilizopita watu walikuwa wanahoji ripoti ya kifo cha mwanafunzi wa NIT,ila sasa hakuna hata anayehoji ripoti ilikoishia.
Mungu atusaidie kwakweli.
Siyo watanzania bali ni human nature!
Binadamu tuna uwezo mkubwa sana wa kusahau Jambo na ku move on!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…