CHAKULA
Pimbi hawa ni miongoni mwa jamii ya wanyama walao majani, hivyo kwa ujumla tunasema chakula kikubwa cha wanyama hawa ni kile chenye asili ya mimea Japo kuna wakati mwingine wanyama hawa hula wadudu na baadhi ya viumbe jamii ya reptilian kama mijusi.