Wanaliwa hawa. Nyama yake kama chikeni [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Nungnungu ni wanyama wagugunaji wenye ngozi yenye miiba iliyochongoka wanayotumia kujilinda na maadui. Walienea katika ulimwengu wa sasa na ulimwengu wa zamani. Katika wanyama wagugunaji ni watatu kwa ukubwa, wakitanguliwa na capybara na buku. Nungu wana urefu kati ya sm 20 - 25. Uzito wao wakaribia kg 5.4 - 16. Wana umbo la duara, wakubwa na wataratibu kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji443][emoji444][emoji445]Tokotoko tokotoko toko...[emoji445][emoji443][emoji444]Piston za injini V8 zikisigana na kukoboana. Bila grease ya kutosha na full synthetic engine oil unaweza kuua gari...Halafu cha ajabu niliposema tu kuwa pengine walikuwa pamoja, injini zikapoa ghafla...Jirani yako yule ni mtu hatari sana. Mpaka anaweza kumuwasha rolo modo wangu vile wakati wengine wakijaribu wanaishia kuraruliwa vibaya....Kweli hata chui huparamiwa [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Asante kwa kutafsiri. Maandaeitini hawa ni shida kwa kweli. Hawajui lugha za mababu...Ulale salama na Mungu akupe baraka!
Amen Malkia wetu[emoji120][emoji9]Ulale salama na Mungu akupe baraka!
Wewe ulipona au we hujanyemelewa na kuonyeshwa pipi kijiti? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji23][emoji23][emoji23]
We mzee wewe,mi simooo
Jamaa silent killer hana haraka.
Si wote wanapata bahati ya kujifunza/kufunzwa hizo lugha kwa sababu moja ama nyingine.Hii aibu hii sasa. Lugha hizi mnapaswa kuzifahamu japo kwa juu juu...Andaeitini jamani. Meki shua yu no atilisti wani Afrikani langueji. Sasa nyie mnadhani kujua lugha hizi ni ushamba. Mnapoteza identity yenu na nafasi yenu katika dunia hii...
Numby = anaweza kubabaisha salamu pekee
Carba = hata salamu hawezi
Kitoo = hata salamu hakuna...
Ledizi, whati izi goingi on?
Nungnungu ni wanyama wagugunaji wenye ngozi yenye miiba iliyochongoka wanayotumia kujilinda na maadui. Walienea katika ulimwengu wa sasa na ulimwengu wa zamani. Katika wanyama wagugunaji ni watatu kwa ukubwa, wakitanguliwa na capybara na buku. Nungu wana urefu kati ya sm 20 - 25. Uzito wao wakaribia kg 5.4 - 16. Wana umbo la duara, wakubwa na wataratibu kweli.
Mie salamu najua mkuuHii aibu hii sasa. Lugha hizi mnapaswa kuzifahamu japo kwa juu juu...Andaeitini jamani. Meki shua yu no atilisti wani Afrikani langueji. Sasa nyie mnadhani kujua lugha hizi ni ushamba. Mnapoteza identity yenu na nafasi yenu katika dunia hii...
Numby = anaweza kubabaisha salamu pekee
Carba = hata salamu hawezi
Kitoo = hata salamu hakuna...
Ledizi, whati izi goingi on?
[emoji23] [emoji23] tatizo wamekulia mjini etiiHii aibu hii sasa. Lugha hizi mnapaswa kuzifahamu japo kwa juu juu...Andaeitini jamani. Meki shua yu no atilisti wani Afrikani langueji. Sasa nyie mnadhani kujua lugha hizi ni ushamba. Mnapoteza identity yenu na nafasi yenu katika dunia hii...
Numby = anaweza kubabaisha salamu pekee
Carba = hata salamu hawezi
Kitoo = hata salamu hakuna...
Ledizi, whati izi goingi on?
Mimi mwenyewe mnyemeleaji[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ulipona au we hujanyemelewa na kuonyeshwa pipi kijiti? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Hivi lugha ya mizimu inasaidia nini[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23] [emoji23] tatizo wamekulia mjini etii