Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Si wote wanapata bahati ya kujifunza/kufunzwa hizo lugha kwa sababu moja ama nyingine.
Ila nitakuja unifunze kikoromije[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kikoromije ni Kibantu na kinafunzika kirahisi tu japo kina toni zinazosumbua kidogo. Nilishawahi kufundisha watumishi fulani waliokuwa wanakuja Tanzania kule Sweden kipindi fulani. Wiki 6 waliweza kujua salamu, kujitambulisha, kuomba vitu vya msingi na kuuliza maswali kuhusu kilichokuwa kinawapeleka Ukoromijeni. Nitakufundisha vizuri na sitataka unilipe cho chote...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahahahahahlol! Nyanya mnyemelaji!!!! Mitaa ipi hiyo huwa unanyemelea? Mara umepigwa kabari ya nguvu ukistuka kuangalia ni MD wetu Carba hahahahahahahah mbona itakuwa rahaaaaaa 🙂🙂

Mimi mwenyewe mnyemeleaji[emoji23][emoji23][emoji23]
Labda tunaviziana[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Darasa humu kwenye uzi wetu litapendeza. Kama likiwapo nijuze ili nami nijifunze Kikoromije japo ja kuombea maji.

 
Wanaliwa? Mana huo uzito wa jogoo kabisa huo[emoji39] [emoji39]
 
Maana ha neno 'MBUJI' ni kitu kikubwa sana.
Jiwe hili ndio jiwe kubwa kuliko yote ndani ya mkoa wa Ruvuma,ni jiwe lenye vyanzo vingi sana vya maji.
Uruhusiwi kulipanda jiwe hilo bila idhini kutoka kwa watu maalumu wanaolielewa vizuiri hilo jiwe kwani kuna mtalii mzungu alikuja kutalii kwenye hili jiwe na akajalibu kulipanda ,alikutwa ameshaaga dunia.
Jiwe hili la Mbuji ni ngumu sana na auwezi kulizunguka kwani ukianza kuzunguka na kuweka harama sehemu unapoanzia kuzunguka ukirudi hauikuti io alama.
Jiwe hili hutumika pia kwa matambiko na baadhi ya koo za eneo hilo.
Ni kivutio kikubwa sana kwa watalii wanaopenda kuwa mkoani Ruvuma.
Ni jiwe linaloheshimika sana na wakazi wa eneo hilo/
 
Nungunungu, fisi na nguruwe pori ni collabo inayosumbua sana kule Usukumani. Wanaharibu sana mazao na mifugo.
 
Ile toni yenu ya kukaza maneno?

Naomba nipewe jinsi ya kujiunga na hili darasa,kama kuna masharti yoyote naomba kujuzwa tafadhali.
 
Jina hili 'MATILDA' Lilitokana na mtoto anayeitwa Matilda amabe alikuwa anapenda sana kumtazama nyoka huyu.Mtoto huyu Matilda alikuwa ni mtoto wa mwanasayansi ambae alikuwa Director wa Wildlife conservation society Tanzania,Mr.Tim Davenport ambae ndiye aliyeongoza utafiti wa nyoka huyu.
Nyoka huyu aina ya 'MATILDA'anayo magamba ya rangi ya njano na nyeusi ,macho ya kijani,urefu wa zaidi ya futi mbili na magamba yaliyojitokeza mfano wa pembe.
Eneo halisi analopatikana nyoka huyu alijatajwa kutokana na sababu za kiusalama wa nyoka hawa na kuepukana na maalamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…