Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mgonjwa wa mawe ya figo inafaa amwone daktari lini?
Anapopata maumivu tumboni ambayo hayaishi hata akinywa dawa.
Kichefuchefu kingi na kutapika ambapo mgonjwa hawezi kunywa maji wala dawa.
Homa, kibaridi, kuwashwa na maumivu tumboni.
Damu kwenye mkojo.
Kukosa kukojoa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…