Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
image_search_1521055430200.jpg
 
Hivi kwani unafahamu homa ya ini ni nini? Je, unafahamu kazi yake?

Homa maana yake ni mabadiliko ya kiwango cha joto la mwilini, ambalo huwa juu ya kiwango cha kawaida. Homa hutokea baada ya miili kushambuliwa na bakteria au kirusi.
 
Pia, chembe hai nyeupe za damu katika miili yetu hutengeneza kemikali zinazosababisha kupandisha joto, baada ya kutoa taarifa katika ubongo katika sehemu inayoitwa ‘hypothalamus’ ambayo ndio kuna kituo cha kurekebisha joto letu la mwili.
 
Hapo ‘hypothalamus’ ambayo ni sehemu ya ubongo, itatuma taarifa sehemu zote za mwili na kutengeneza joto kwa kusinyaisha mishipa ya damu ya kwenye ngozi na kuitoa juu juu ya ngozi na kuzuia kupoteza joto.
 
Pia, husababisha mwili kusikia baridi na misuli kufanya kazi, ili kupandisha joto na ndipo mgonjwa ataanza kujisikia kama mwili unatetemeka ‘Shivering” na meno yangongana.
 
Back
Top Bottom