Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Chembe hai za ini zinaitwa ‘Hepatocytes’ ambazo ndio zipo nyingi. Kazi kuu za ini ni kama zifuatazo:

• Kazi kubwa ya ini ni kuchuja/kusafisha damu inayotoka katika mfumo wa chakula ‘digestive system’ kabla ya damu hiyo haijaenda katika sehemu nyingine za mwili.
 
Ini ina kazi ya kusafisha sumu na vitu vingine ambavyo hatarishi vinavyokuwa katika damu yetu. Mfano, kwenye ini ndipo ambapo pombe unayokunywa inaenda kuharibiwa na kutolewa isiwe sumu, kwenye ini ndipo dawa unazokunywa zinaenda kuharibiwa/kutengenezwa zisiwe sumu ili ziweze kutolewa nje ya mwili.
 
Ini pia hutumika kuhifadhi virutubisho, vitamini na madini ambayo mwili utahitaji baadaye. Mfano, ini linahifadhi madini ya chuma ambayo baadaye yatatumika katika kutengeneza chembe hai nyekundu za damu, ini pia huhifadhi madini ya ‘copper’.
 
Ukila chakula kama nyama na ikisagwa na kumeng’enywa, huwa inatengeneza ammonia. Hii nio sumu na kazi ya ini ni kuibadili ammonia kuwa urea, ambayo haidhuru. Kisha inasafirishwa na kutolewa nje kwa njia ya mkojo kupitia kwenye mafigo yetu.
 
Back
Top Bottom