Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_1520954901060.jpg
 
Hivyo, kinakuwepo sababu nyingi za magonjwa ya ini katika uwezo wa kukabiliana nazo, mara nyingi ni uwezo wa kuamua kubadili tabia. Hilo la vinasaba kidogo lina ugumu wake. Tabia zako ndio zitazoliua ini lako na vilevile tabia zako ndio zitakazolitunza ini lako.
 
Chukua hatua.

Dalili za magonjwa ya ini.

Dalili kuu ni:
• Kutapa rangi ya manjano kwenye macho na ngozi, yaani kitaalamu inaitwa ‘jaundice’
• Kuvimba tumbo na kuumwa tumbo upande wa kulia.
• Kuwashwa ngozi.
• Mkojo wa rangi ya kahawia iliyokoza.
• Choo kupoteza rangi yake kahawia na kuwa kama rangi ya chokaa isiyokoza.
• Kichefuchefu au kutapika
• Homa
• Kuvimba miguu
• Kuwa na uchovu uliopitiliza
 
Back
Top Bottom