Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni vyema wataalamu wa afya wakatafiti na kufahamu kama kuna athari kwa vile kemikali hizo zimekuwa zikiliwa kwa muda mrefu ndani ya kichuri bila kupata maelezo ya kitaalamu kuhusu athari zake.
 
0FCF240C-BB3B-489C-9092-0567329CFF98.jpeg
 
SARATANI au kitaalamu Cancer ni moja ya magonjwa yanayowashambulia binadamu.Kuna aina nyingi ya saratani kama vile ile ya matiti (breast) , mifupa (bones) ubongo (brain), damu (Leokamia) na kadhalika.
 
Baadaye mtu huyo ambaye anakohoa atapata tatizo la kushindwa kupumua kwani atakuwa akifanya hivyo kwa taabu sana. Ugonjwa huu usipogundulika mapema husambaa katika tezi ambazo zipo karibu na mapafu hivyo mgonjwa kusikia maumivu makali.
 
Saratani hii ya mapafu pia inaweza kusambaa mpaka katika tishu nyingine kama vile kwenye ngozi laini ya mapafu na katika moyo hivyo kuzidisha hatari kwa maisha ya mtu anayeugua maradhi haya.
Baadhi ya wagonjwa wa saratani hii ya mapafu huweza kuwasababishia matatizo katika ubongo wao, hivyo kujisikia kuumwa na kichwa.
 
Back
Top Bottom