Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

received_194061454529846.jpeg
 
Magonjwa ya ini:

Magonjwa ya ini ni mengi, ila ambayo yanatupata mara kwa mara ni Hepatitis, Liver Cirrhosis, Fatty liver disease, na Saratani ya ini.
 
Sababu za magonjwa ya ini ni ziko nyingi:

• Virusi: Vinaweza kushambulia ini na kusababisha ‘Viral Hepatitis’ ambazo zipo aina tano, yaani; Hepatitis A, B, C, D, and E.
Kati ya hizo, Hepatitis B, ni muhimu sana nchini Tanzania na ina kawaida ya kuifahamu vizuri, kwani huambukizwa kwa njia ya damu na inawapata sana wanaojidunga wa dawa ya kulevya. Hepatitis E, huwapata zaidi kinamama wajawazito.
 
Pombe; Unywaji wa pombe uliopitiliza, unalichosha ini, maana unalifanyisha kazi kupita kiasi na hatima yake ni kulidhoofisha Ni hali inayomfanya mtu baadaye apate maradhi yatolewayo katika kinachoitwa kitaalamu kuwa ‘Alcohol induced Hepatitis’ na hatari zaidi, ni pale unywaji pombe unaokithiri na kuleta ugonjwa unaoitwa ‘Liver cirrlosis’
 
Kama mtu hataonea huruma ini lake na kila wakati unaliingizia hizo kemikali, analiweka katika wakati mgumu wa baadaye kushindwa kazi, kwa maana atakuwa mmezidishia kazi au kulipa sumu ambazo haliwezi kuziharibu na matokeo yake unaliharibu ini lenyewe. Ambayo itakuletea ‘Drug induced Hepatitis’ na uwezekano wa kukupa saratani ya ini.
 
Utumiaji mbaya wa dawa, mfano hai dawa za kutuliza maumivu huwa unaweza kwa kiwango kikubwa kusababisha hili. Hivyo tuache tabia ya kujinywea madawa nyumbani bila ya kupata ushauri na maelekezo ya daktari.
 
Kama mtu hataonea huruma ini lake na kila wakati unaliingizia hizo kemikali, analiweka katika wakati mgumu wa baadaye kushindwa kazi, kwa maana atakuwa mmezidishia kazi au kulipa sumu ambazo haliwezi kuziharibu na matokeo yake unaliharibu ini lenyewe. Ambayo itakuletea ‘Drug induced Hepatitis’ na uwezekano wa kukupa saratani ya ini.
Asante kwa elimu nzuri dear
 
Back
Top Bottom