Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Yawaa iko siida[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 714979
Aiseee[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]

Usiku wa kupeana..
Pipi kijiti...
Mtwangio na kinu...
Kukoboana...
Tusinyimane...
Injini oni...
Ni mwendo wa tokotokotoko[emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji445]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Dogo tumesifia ila kwa hilo ametuangusha kwa kufanya uzembe wa wazi maana hapo hata mwl.akiona itakuwa soo kama huyu mwenzake View attachment 714996
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] rose flower [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bwahahahaahahahahahahhahahh
image_search_1521055419557.jpg
 
Hiyo inasababisha mishipa ya damu kwenye ngozi kutanuka na kusogea karibu na ngozi, hivyo hufanya itoke jasho kama sehemu ya kupunguza joto lake.
Homa ni tofauti na kusikia joto kwenye sehemu iliyoumia au kudhurika kama vile mtu kuwa na jipu kwapani. Joto la kwapani ni matokeo ya mabadiliko katika utengenezaji wa jipu.
 
Yaani kuna mabadiliko kwenye jipu tangu kuanza kwake, hadi kutumbuka kwake. Kuna wakati jipu linakuwa jekundu na la moto unapoligusa. Lile joto la pale kwenye jipu, sio homa.

Homa ni ile inayotokea kuwa na joto mwili mzima na hata jipu nalo linaweza kusababisha hali hiyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee wa malori.
Hizo vitz waachie wenyewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Raha ya kuendesha gari "mneso"
 
Kwa hiyo, tunaposema homa ya ini maana yake ni kuwa na mashambulizi ya bakteria, kirusi au kingine kinachotokea kwenye ini na kusababisha kuzalishwa kwa kemikali, ambazo zitaenda kwenye ubongo, kupitia njia ya damu na kufikia katika kituo cha kurekebisha joto la mwili katika ubongo.
 
Hapo ndipo homa hutokea na sio tafsiri ya moja kwa moja kwamba ini lina homa.

Pia tunaposema ugonjwa wa Homa ya Ini, maana yake ni kwamba sehemu tu ya ugonjwa kama ilivyo kwenye malaria au homa ya tumbo yaani ‘typhoid fever’ na malaria.
 
Ini hasa ni nini?

Ini ni kiungo ‘organ’ ambayo ipo tumboni yaani kwenye ‘abdomen’ ya binadamu. Ini la binadamu linafanana na maini ya wanyama wengine kama ng’ombe, mbuzi, nk.
 
Back
Top Bottom