Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwema Sana Tumshukuru Mungu [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] . Ulale salama SYB malaika Wa Mungu wakulinde
Amen binti mwema usiye na makuu na unayeishi vyema na majirani zetu. Mungu Akulinde pia [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Mungu Awape siku njema na iliyojaa mibaraka tele wapendwa. Hata uwe unapita katika magumu kiasi gani, kamwe usikate tamaa kwa sababu magumu hayo kwa hakika ni ya muda tu na yatapita. Mungu Hatakuacha !!![emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Nimeelewa sana tu

Za asubuh mwanamke wangu, naenda kulala saiv, tutaongea kesho jakito wangu(hahahah)

Ubaki salama,Mungu akubariki
 
Goodnight
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…