4.Kupunguza uzito.
Nanasi limejaa virutubisho muhimu ambavyo vinahitajika mwilini. Uzuri wa vyakula vilivyojaa virutubishi ni kuwa vinakufanya unajisikia umeshiba bila kula karoli nyingi. Hii nni njia mbadala ya kuhakikisha uzito wa mwili wako unabaki wa afya wakati unaendelea kula vizuri.
Baadhi ya faida zingine za nanasi:
i.Tunda hili husaidia kutengeneza damu
ii.Nanasi husaidia kuimarisha mifupa , meno, neva na misuli (muscles).
iii.Tunda la nanasi hutibu matatizo ya tumbo.
xi.Husaidia kutibu maradhi ya akili Kukosa mori (low spirit)
xii.Husaidia kutibu Kikohozi.
NB:
Nanasi lina sukari nyingi sana, na ni vizuri kula vyakula kama hivi kabla ya kufanya zoezi ili kuupa mwili nguvu sababu inapunguza kiwango cha sukari kwenye damu. Inabidi uwe makini tu kama una matatizo ya kisukari au unadhurika na sukari nyingi, sababu nanasi linaweza kukuletea madhara zaidi ya faida.
Hapana sihitaji SYB, [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kalale dadii utaumwa usingizi in kitoo's muandiko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] miaka ilee ya 80*CAMERAMAN WA ENZI HIZO....* [emoji57][emoji57]
Makamera man walikuwa majeuri
kishenzi yaani! Kwanza unakuta hii
Kamera ina likamba fulani jeusi
inaning'inizwa shingoni.....
Kameraman ana kabaskeli kake hapa...
nyuma kana begi lina picha za watu ambao hawajamaliza madeni.
Kamera man anakupiga picha leo
anakwambia picha yako utaipata panapo
majaaliwa mkanda ukijaa... unaweza
kusubiri miezi miwili...
Enzi hizo kamera man ndiye anayekupangia pozi gani ukae ili upigwe....
Kamera man anampanga hadi baba yako
mzazi kwenye picha hahahahah! Baba
anakuwa mpoleeee! Kamera man anapita na kabaskeli kake
watu wanamuita anaringa huyoooo!....
ukute msimu wa sikukuu mnaweka oda
kwa kameraman wiki mbili kabla....... akija
anaanza kwanza kula pilau na soda yake
ipo amehifadhiwa.... baada ya hapo ndo anapiga picha......
Enzi hizo picha inatoka umefumba
macho, na unailipia... sio siku hizi mtu
anapiga picha mia anachagua moja ndo
anaipost mtandaoni......
*Enzi hizo sisi watoto* *tukililia picha tunapigwa* *flash kilio kinaisha*
*hapohapo.......* [emoji23][emoji23][emoji23]
Thank you Yego[emoji23] [emoji23] [emoji23] asiione SYB
Bujiku ng'waka. Lalaga chiza
Nimeokota hukooo
Thank you Yego[emoji23] [emoji23] [emoji23] asiione SYB
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] na wewe hulalagi go?Hawezi kuiona hii, iko Encrypted! [emoji1][emoji1]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] na wewe hulalagi go?