Katika mazoezi hayo ya jana, Kocha Lwandamina aliwapanga kipa Youthe Rostand, Juma Abdul, Haji Mwinyi, Kelvin Yondani, Juma Makapu, Pato, Pius Buswita, Tshishimbi, Obrey Chirwa, Kamusoko na Ibrahim Ajibu, kuonyesha ndio kikosi kitakachoanza, japo inategemea na mabadiliko ya benchi la ufundi kabla ya mechi.