Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

andjul. Mama Mlonge is baaaaack...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama sanchoka,hamisa,tunda etc mbona wanapicha nying tu chafu
 
Lakini kuna tofauti wanapoweka picha hizo wenyewe mtandaoni na anapoweka BF. Ni ujinga na utoto wa hali ya juu kwa BF au Ex BF ambaye ana picha za uchi za aliyekuwa mpenzi wake kuziweka hadharani ili kumkomoa kwa namna yoyote ile. Watu kama hawa inabidi waadhibiwe hata miaka 10 au zaidi jela.

Kama sanchoka,hamisa,tunda etc mbona wanapicha nying tu chafu
 
Huyu ambaye haitamsumbua kichwa, ni yule ambaye siku zote hajali maisha yake..kwa maana nyingine "hajitambui".
Binti aliyezoea kuchunguliwa chunguliwa hovyo, ufuska kwake si tatzo. Wafikiri hii itamsumbua??

Kwa upande wangu huwa sianzishi uhusiano wa kimapenzi na mwanaume kabla sijamjua nje ndani...
Aina ya mwanaume nayo huchangia hadi mtu kufikia kudhalilishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…