Safi kabisa mkuu. Niaje pande hizo?Mzee wa mwakaleli niaje
Kama kawaidahuu uzi bado upo tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata sijui nimeandika tu[emoji41] [emoji41] [emoji41]Wp tena mzee lver[emoji30]?
Pimbi mkwe wangu[emoji23] [emoji23]Pimbi utambebea mbeleko gani?
OK poa mkuu lakini nahitaji Maelezo ya kina labda nicheki na vitabu vya dini vinasemajeFlat mkuu. Spherical ni mbwembwe za wazungu tu kutupoteza...
Unajua nimeulizwa hilo swali muda sana na mtu mmoja nilishindwa kutoa jibuHahahah! Ila kuna vilima na milima, [emoji2]