Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umeelezea fresh kwa kiranga Kama viph tukapambane nae tu
Haina haja. Ni kupoteza muda. Mara nyingi mijadala hiyo haina mshindi na usipokuwa mwangalifu unaweza kuondoka na mbegu za mashaka. Kosa kubwa la Eva halikuwa kula lile tunda. Kosa lake kubwa ni kujaribu ku-reason na shetani.....[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii imechukuwa kombe?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…