Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jermain Defoe v Wigan, 2009

Supastaa, Jermain Defoe ni mmoja wa wachezaji makini sana ambao hawakufanikiwa kupata bahati ya kuchezea timu kubwa.

Timu kubwa zaidi aliyowahi kuichezea staa huyo ni Tottenham Hotspur, makali ambako Novemba 2009 alipiga bao tano pekee yake katika ushindi wa 9-1 dhidi ya Wigan Athletic.

Defoe kwa sasa anakipiga katika kikosi cha AFC Bournemouth.
 
Bao nne eeeh!?

Salah huyu mchezaji mzuri sana kwa kweli !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…