myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
09:03
He he he heMdau nakuona hadi huku.
Zinaleta vitamin DLikes za asubuhi
Utake mwenyewe kuwa mzigo.!!..Sometimes Utanzania ni MZIGO..!!
Namba ntatumaje hapa mbele ya Ummah,Muda woote unazunguka tu, namba hutumi.
Hahaahha!! Huitaji, ungekuwa wahitaji ungejua namna ya mimi kuipata no.bila mtu mwingine kuiona.Namba ntatumaje hapa mbele ya Ummah,
Wewe unataka nitafutwe na ninaowarushia madongo humu.
Aisee naona kama hunitakii mema kabisaa wewe mdau......
Humu ndani nimepapenda bure kabisaa!He he he he
chimbo letu la kimya kimya huku aiseeee, hua tunaibuka mara moja moja kutoa company kijiweni.
😀😀😀😀😀Hahaahha!! Huitaji, ungekuwa wahitaji ungejua namna ya mimi kuipata no.bila mtu mwingine kuiona.
Makonda asipofungwa spidi gavana atakuja kufanya kitu kitakachomuumiza yeye na nchi kwa ujumla,