Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mmh!Alikuwa ameanzisha uzi,katika stori mbili tatu akachomekea kulaani halafu akapotezea...na alisema yupo humu humu.
Hajambo kabisa,sijui jakitooHabari ya leo nzuri shemeji. Kwema huko? Andjul hajambo?
Huo wa kushoto ni uchochoro[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo maana nakumiss [emoji23][emoji23]Loh, eti unasikitika
Utajijuu na bado utalia sana hapo nyuma ya keyboard sijui screen ya simu.Nailazimisha furaha,ingawa moyoni nina majonzi...
Nani wa kunifuta machozi, umekwenda...[emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji443] yaani hapo unaimba huku unachungulia chenza linapita pita kwenye sikirini ya simu...
Safi. Jakitoo wangu yupo anabebika tu...Hajambo kabisa,sijui jakitoo
Hahahahha hata mimi nawamis kwakweli. Tena sana.Ndo maana nakumiss [emoji23][emoji23]
Usimpende mwanaume kiasi kwamba na yeye mwanaume anajua.K
Kuna watu ndo starehe zao hizi bila kurekodi haoni kama pesa yake imeenda kihalali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utajijuu na bado utalia sana hapo nyuma ya keyboard sijui screen ya simu.
Umeyataka mwenyewe.