Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

umeandika vizuri kweli alafu umemaliza vibaya

Nani kasema sisi wanaume wahovyo? sisi ni wahovyo??? kabisa kabisa unasema sisi ni wahovyo??? eeh, hovyo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sorry brother[emoji120] [emoji120]

Sijatumia neno "wote" kuepusha wale wastaarabu.
Lakini kama mwanaume kweli,yaani namaanisha mwanaume sio mvulana(andaeitini) unaanzaje kumfotoa mwanamke? Sawa,haina shida,labda mlitaka mshirikiane kuliangalia tunda kwa ukaribu wa pamoja. Nini kinakupelekea kuutangaza utupu wa mwenzio ambao ulitumika kuumeza utupu wako ili tu ubinjuke binjuke bila mpangilio na kuachia mananiii ambayo mdada wa watu wala hajaomba(?) maana anayajua madhara yake...
Samahani mkuu,kama upo na rafiki mwenye tabia hii,na utamjua tu stori zake,achana nae.
Laana zingine tunazitafuta wenyewe.
 
Why do you get Boogers in your Eyes?

Rheum is made up of mucus, skin cells, oils and dust. The rheum that comes from the eyes and forms eye boogers is called gound, which you may know as eye sand, eye gunk, sleep dust, sleep sand, sleep in your eyes. When you're awake, gound doesn't cause any problems.
Your eyes produce mucus throughout the day, but a continuous thin film of tears bathes your eyes when you blink, flushing out the rheum before it hardens in your eyes.
When you're asleep and not blinking, eye discharge collects and crusts in the corners of your eyes and sometimes along the lash line, hence the term "sleep in your eyes."
 
vile nataman kumjua huyo alieleta uzi n nani... nadhan baada ya hapo ndio naweza jadili na kumchapa huyo binti kwa ku mix vidume viwil na pia kukubal kutandikwa picha
 
Pointi ya kwanza Si kweli...
Pointi ya pili Kweli nusu nusu
Pointi ya tatu Si/Ni kweli
.....

HITIMISHO LA HOVYO KABISA. Halina tofauti na lile la WANAUME NI MAMBWA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mambwa tena!!
Ndio maana sijaweka neno "WOTE".
Mwaka juzi,wanawake wa kiswahili walidhalilishwa wengi sana,ukienda kule xvideos.com ndio utajua ukweli.Stering ndio cameraman huyo huyo,mdada anaishia tu kuficha sura anavyo mulikwa na kamera.

Naomba nitengue kauli hiyo. Kuonyesha hivyo naifuta hiyo komenti,nawaombeni nanyi muifute wakuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…