Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1392662160_drake_trophies_produced_by_hit_boy_46.jpeg
 
Hii kali !!!

Maono maono maono maono....

Tungeachana na viwanda kwanza mpaka pale tutakapokuwa na umeme wa kuaminika. Badala yake tungekazania kuleta mapinduzi ya kilimo kwanza. Teknolojia rahisi kama za Wachina huko vijijini. Maono maono maono....
Hata oven yako ni kiwanda ujue

Hata tukiwa na umeme wa maana bado hatutafanikiwa ikiwa ushabiki wa kisiasa upo kila kona mpaka imefikia hatua ya kubaguana sio maofisin majumban wala mikutanon,misiban pote shida tupu
 
Back
Top Bottom