Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapa naona pana shida kubwa dunia nzima,
Tukifika mahali tukasema tuache vitu tu kwasababu watu ni anonymous tutakuwa tunakosea sana.
Waandishi kama wakina George Orwell walikuwa wanatumia majina siyo yao wakaandika hadi The Animal Farm,
Lakini walilindwa saana: Nilikuwa nazungumza na Mkuu Consigliere siku moja, akaniambia kitu kizuri sana. Kwamba miaka 10 hadi 20 iyao Social Networks zinaweza kuja kuwa ndiyo vyombo vikubwa vya mawasiliano hapa duniani. Hivyo kama hatutajiandaa vizuri tutajikuta tunapelekwa na wimbo la mabadiliko bila kujiandaa (Hapa lazima tukubali wataalamu wetu wa Sheria na wadau mbali mbali wa mitandao wamelala sanaa) Duniani kwingine washaanza hadi mijadala ya kulinda hati miliki za mitandaoni na zile za makabila kama madawa ya Kienyeji nk.......

JF inaweza kuja kuwa mtandao mkubwa sana huko mbeleni, hasahasa ambavyo matumizi ya Mtandao yanaongezeka,
Tungetegemea kuona nayo iko mstari wa mbele kutafsiri mabadiliko ya dunia ya kisera za mitandao yana athari gani kwenye Uchumi wa nchi, Elimu na maisha ya watu kwa Ujumla. Privacy ipo lakini Malcom Lumumba wa JF ndiye yule yule Malcom Lumuba anayeshinda Ofisini akiandaa vitu mbali mbali, tofauti ni Alias tu...Sasa kwanini asilindwe ???

Kuna paper nzuri sana ya Semina kuhusu haya mambo ya kulinda hati miliki mtandaoni,
Nikipata wasaha ntakuwekea usome..........
Kuna blog moja ya masomo wana application nzuri yenye notes na past papers zote anzia primary,o level,a level hawa wamefanikiwa kulinda content zao maana hakuna kudownload unasomea humu humo mtandaon na kuandika notes ukipenda,unaweza fanya mitihan ya majaribio humo na ukaituma wakakuletea majibu ya kusahihisha. Kwa mwezi 5000 sasa hao ukisema uscreenshot utachoka maana ni notes nying,mitihan ming
 
Hapa naona pana shida kubwa dunia nzima,
Tukifika mahali tukasema tuache vitu tu kwasababu watu ni anonymous tutakuwa tunakosea sana.
Waandishi kama wakina George Orwell walikuwa wanatumia majina siyo yao wakaandika hadi The Animal Farm,
Lakini walilindwa saana: Nilikuwa nazungumza na Mkuu Consigliere siku moja, akaniambia kitu kizuri sana. Kwamba miaka 10 hadi 20 iyao Social Networks zinaweza kuja kuwa ndiyo vyombo vikubwa vya mawasiliano hapa duniani. Hivyo kama hatutajiandaa vizuri tutajikuta tunapelekwa na wimbo la mabadiliko bila kujiandaa (Hapa lazima tukubali wataalamu wetu wa Sheria na wadau mbali mbali wa mitandao wamelala sanaa) Duniani kwingine washaanza hadi mijadala ya kulinda hati miliki za mitandaoni na zile za makabila kama madawa ya Kienyeji nk.......

JF inaweza kuja kuwa mtandao mkubwa sana huko mbeleni, hasahasa ambavyo matumizi ya Mtandao yanaongezeka,
Tungetegemea kuona nayo iko mstari wa mbele kutafsiri mabadiliko ya dunia ya kisera za mitandao yana athari gani kwenye Uchumi wa nchi, Elimu na maisha ya watu kwa Ujumla. Privacy ipo lakini Malcom Lumumba wa JF ndiye yule yule Malcom Lumuba anayeshinda Ofisini akiandaa vitu mbali mbali, tofauti ni Alias tu...Sasa kwanini asilindwe ???

Kuna paper nzuri sana ya Semina kuhusu haya mambo ya kulinda hati miliki mtandaoni,
Nikipata wasaha ntakuwekea usome..........
Asante kwa maelezo ya kina. Nitafurahi kuisoma hiyo paper. Tayari mitandao ndiyo chanzo cha habari kwa watu wengi hasa katika huko kwa wenzetu. Ndiyo sababu magazeti mengi ama yamekufa au imebidi yahamie mtandaoni jumla.

Kwa foramu kama hizi itabidi ifike mahali tuachane na matumizi ya anonymous. Nadhani huu ndiyo mwelekeo wa kidunia. Magazeti mengi na sites nyingi zimeachana na mtindo wa kuruhusu memba wao kuacha maoni wakiwa kama anonymous na badala yake zinalazimisha watu watumie id zao za Facebook. Nakumbuka site kubwa ya ESPN walipata mzozo mkubwa na wachangiaji (na mapato yao) kupungua sana baada ya kuachana na mambo ya anonymous. Hoja yao ya msingi ilikuwa ni ya kisheria: inakuwa vigumu kisheria na ni process ndefu kidogo kumuwajibisha mtu aliyejificha katika uanonymous. Na kama sites ni ya kulipia basi memba ni lazima watumie majina yao halisi. Wanasheria nadhani wanaweza kulitolea ufafanuzi mzuri zaidi hili suala.
 
HIVI vuta fikira viatu unavaa wewe na pesa unalipwa wewe. Hayo ndiyo maisha ya wanasoka yalivyo kutokana na vile viatu wanavyovaa wanapocheza mchezo huo.

Katika soka la kulipwa, karibu wanasoka wote wanalipwa mishahara mikubwa na bado wa madili ya maana kutokana na viatu wanavyovaa wakati wa mechi, lakini kuna mastaa hawa saba ndiyo wenye madili ya pesa nyingi kutokana na viatu wanavyotinga kwenye mechi.
 
7.Marco Verratti

(Nike, Pauni 2.7 milioni)

Utashangaa kuona kwenye orodha hii halipo jina la Lionel Messi, lakini ukweli ndio huo, mkwanja anaovuta staa huyo kupitia dili lake la viatu anavyovaa ni mdogo kuliko anaokamatia kiungo wa Kitaliano, anayekipiga kwenye kikosi cha Paris Saint-Germain, Marco Verratti.
 
Huko PSG, Verratti ni staa mkubwa japo siku za karibuni kumekuwa na ripoti staa huyo anaweza kuachana na maisha hayo ya Paris na kutimkia kwingineko. Nike inampa Verratti mkwanja wa Pauni 2.7 milioni kwa mwaka kutokana na kuvaa viatu vyao, pesa ambayo ni kubwa kuliko wanayolipa kutokana na miguu ya Messi kuvaa viatu vya kampuni hiyo.
 
6. Paul Pogba

(Adidas, Pauni 3.1 milioni)

Paul Pogba ni nembo inayotembea, hivyo ni kitu kisichoshangaza kuona naye yumo kwenye orodha ya mastaa wa soka wanaovuna pesa nyingi kutokana na dili za viatu vyao wanavyovaa kwenye mechi za mchezo huo.
 
Huko Ligi Kuu England, Pogba ndiye mchezaji ghali zaidi kutokana na uhamisho wake kuigharimu Manchester United Pauni 89 milioni, ilipomnasa kutoka Juventus. Pogba ni shabiki mkubwa sana wa adidas, amekuwa akivaa viatu vya kampuni hiyo hata kama anapokuwa kwenye mambo mengine ya nje ya uwanja.
 
Kwa kuvaa viatu vya kampuni hiyo kwenye mechi, Pogba analipwa Pauni 3.1 milioni kwa mwaka na hivyo kuwa miongoni mwa mastaa wa soka wanaovunja mkwanja mrefu kupitia dili la viatu.
 
Back
Top Bottom