ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Cha wote maana mie mwenyewe natoa huko magazetini naleta huku so siwez tetea upande wowote humuHivi Intellectual Property Policy ya JF inasemaje kuhusu umiliki wa Contents ambazo mtu anatuma ???
Kama mtu akituma kitu cha maana kinakuwa ni mali ya nani ??? Hatua gani zinachukuliwa endapo mtu atachukua na kukitumia nje ya mtandao wa JF kama kwenye habari za Magazetini ??