Ile oven pembeni kulikuwa na samaki na kiganja cha mbaba "mwenye nguvu" ni kiwanda?Hata oven yako ni kiwanda ujue
Hata tukiwa na umeme wa maana bado hatutafanikiwa ikiwa ushabiki wa kisiasa upo kila kona mpaka imefikia hatua ya kubaguana sio maofisin majumban wala mikutanon,misiban pote shida tupu
Nakumbuka site kubwa ya ESPN walipata mzozo mkubwa na wachangiaji (na mapato yao) kupungua sana baada ya kuachana na mambo ya anonymous. Hoja yao ya msingi ilikuwa ni ya kisheria: inakuwa vigumu kisheria na ni process ndefu kidogo kumuwajibisha mtu aliyejificha katika uanonymous.
This Ashanti ???
Sigmund Freud. Kichaa daktari wa vichaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sigmund Freud. Kichaa daktari wa vichaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unavyo penda vishukran...Hahahaha kabla sijajibu hebu nidokeze kidogo aina ya shukran
Ebwanaaa eeh hii ALBUM ya Evolve niliisikiliza hadi nkataka kugongwa na gari...
Ile oven pembeni kulikuwa na samaki na kiganja cha mbaba "mwenye nguvu" ni kiwanda?
Sijui watanzania tunapenda sana siasa?
Nilikuwa kijijini kwa bibi yangu kwa wiki kadhaa mwezi uliopita,watu hawajishughulishi kama zamani,ni wavivu kupindukia.Muda mwingi ni hadithi za vyama vya siasa na mipira ya ulaya...
Inawezekana huyu kiongozi hatuja muelewa,labda kwa vile tulizoea maisha ya kuiomba serikali itusaidie hata kufukia madimbwi yanayo zunguka makazi yetu na vyandarua vya bure wakati tunasubiria kufukiwa madimbwi hayo.
Inawezekana kiongozi huyu hajatuelewa kuwa tunapenda sana siasa(porojo) kuliko kitu kingine chochote,au ametuelewa ila anataka kututoa huko kwenye kupenda siasa(porojo) na kutufanya tupende kufanya kazi za kutuongezea kipato.
Naamini ipo siku atakuja kutuelewa...
Naamini ipo siku tutakuja kumuelewa...
Vyovyote itakavyo kuwa,maumivu yatakuwa kwa "Mswahili".

Hahahah shukran haikataliwi hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unavyo penda vishukran...
Andaeitini amesha kuharibu na viwaini vyekundu...
Kwani ofisi ya Paul Makonda imefungwa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] una matatizo sana wewe.Kile ni kiwanda kilichojitosheleza kabisaaa cheki navyotoa mapishi hodar yaan yaani kweli kweli samaki ane anabanikwa kwenye oven amaizingi
Hata cherehan moja iliyoshona ile suruali ya kitambaa nayo ni kiwanda tosha kabisa hahahaha
Uvivu hulka ya kizazi cha sasa chenye mawazo ya kubet huku wakijipa matumaini kuwa ipo siku watafanikiwa kubahatisha mamilion ili wanunue nguo mpya kuruka viwanja vipya vya statehe kila leo wengine wakijiapiza kuja kuzitumbua na akila tunda,wema etc
Huyu kiongoz hatutamwelewa kamwe tulishazoea vya kunyonga,vya kuchinja hatuwez baba angejaribu taratibu kutufundisha kuchinja mdogo mdogo tungefika tu
Tokaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahah shukran haikataliwi hahaha
Ee bana eti yupo busy kuamua ugomvi wa shonza na diamond ila kasema ukiwa na ubuyu atakufungulia hahaha
Hahahahhaha si tunaongelea viwanda jaman[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] una matatizo sana wewe.
Suruali ya kitambaa imefikaje tena hapo? Nilisha sema sio yanguuuuuu...jamaniiiii
Hahahaha mwenye kwetu kwaheri kwaheri kwaheri nakutakia maisha memaTokaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] acha nikaikague hiyo picha nione kuna nini biyondi ze sini...Hahahahhaha si tunaongelea viwanda jaman