Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
U have broken my heart into pieces...[emoji12] [emoji12] [emoji12]Siwezi nsamaka, ni kupitiwa tu
Pamoja mkuu like kwanzaNaona mnatangazia watu vita tuu hapa ya kugombania bebez.....sasa mimi ntakua wa mwisho kutangaza na nimeshatenga fungu la kutosha.Labda mniloge maana nikiingia vitani hakika kuna watu hawatabakia salama.
babe S mwenyewe mbona sio mwelewa. Kashikiria ushauri wa Angaza "ukishindwa baki na mmoja" ubaki na mmoja(uniq),babaako huyo?Wakikosana andjul na uniq vita itakuwa kwenye mteremko tayari.
ShilawaduHaya bana. Good luck!
Pole ndio maana nimekupa moyo wangu tulia nami mama.twende tukalaleU have broken my heart into pieces...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] JF raha sanaDah!! Rana ya hapa unatongaza hata Mzee!!! Bila kujua.. Wote mabebez...
Hahahahahhahababe S mwenyewe mbona sio mwelewa. Kashikiria ushauri wa Angaza "ukishindwa baki na mmoja" ubaki na mmoja(uniq),babaako huyo?
Jamani tunatoka na mpenzi wangu. Kesho wapendwa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ngoja kichafu aje aamue huu ugomviBabe S utafanya mijibaba itoane roho kudadadeki. Fanya uamuzi mapema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usidanganyike na mtoto wa shule huyo, mwezi July hauta muona humu atakuwa amenyang'anywa simuKweli na mm naona huyu mzee w makinia hafai.
Usijali tupo pamojaNimerudi ujue mi nakuangalia tu.
Amen. Usiku mwema mkuuNakabwa shingo natakiwa nilale bila kupoteza mda wakuu,
Kesho nayo ni siku,
Tuombeane uzima ili kesho tuwe pamoja!
Heshima kwenu nyote,
Nawapenda.
Nimerudi mkuuandjullllllll njooooooo