Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Kumbe hata wanawake huwa mnaitana "mkuu" [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nimefanyaje tena mkuu?[emoji23][emoji23]
Hahaha! mkuu ndugu mkuu ndugu tu.Kumbe hata wanawake huwa mnaitana "mkuu" [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji1] [emoji1] we Pyaar wwHahaha! mkuu ndugu mkuu ndugu tu.
Hahahahah jaman babu wa watu hana hamu na JFUnajua humu watu hawajazoea/hatujazoea kuweka picha zetu halisi ndo maana ukiweka kila mtu anashangaa na utapata maneno ya kila aina.
Sasa mzee baba kaamua kutupia le selfie matata akaishia kuchekwa maana kaitwa hadi chura[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui hata anajisikiaje huko aliko....
Halafu naona waanza visababu,najialika pasaka nije kukutwanga selfie nitupie humu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kwani kuna shida mkuuKumbe hata wanawake huwa mnaitana "mkuu" [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Narudi nyumban eee miee najipendaaaa hahahahTwanga foto...tchaaa...ekotitee[emoji443] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji445]
[emoji23][emoji23][emoji23]sponsor wa watu hamu hanaHahahahah jaman babu wa watu hana hamu na JF
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwendaaaaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
"Hatimaye nimekutana na andjul wa jf aiseh!jamaa ana......."
Sijui umewaza nini....
Ila shem mama hana kosa waswahili walisema "uzuri wa mtu uko machoni pa mtu"
Kwenye macho yake u mzuri kuliko wanaume wote.....
Nop,nmeuliza tuKwani kuna shida mkuu
Kijana handsome hofu yako tuSio kwa kunicheka hivyo kijana mpole na msura huu
Mungu ana saidia ndugu yangu. Habari ya majukumu YegomasikaHahaaa, kwema huko lakini?
Narudi nyumban eee miee najipendaaaa hahahah
Kwenye komenti tuna jipiga "make up" tunaonekana tuna sura nzuri kweli kweli...Acha tu hizi sura za GOAT hizi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kijana mpole kwa pande yako ivoBebi nimekumiss anha
Siku naona wiki anha
Acha uzushi acha fiksi nataka pipi ya kijiti[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]
Nimekumbuka mbali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu ana saidia ndugu yangu. Habari ya majukumu Yegomasika
Mwishowe ujikwae kidoleNaliza ehaha yenei/yeneyi? [emoji1]