Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hawezi kukua wala kujitambua huyu ndo basi tena.
Mtu anakaribia 30's huko(kama bado hajafika maana kila mwaka ako na 26)akili yake iko kama binti aliyebalehe,hovyo kabisa.
I like her. Ishi unavyotaka ali mradi huvunji sheria au kuudhi wengine. Hii mikatale ya jamii hii ni mikanda ya kisaikolojia inayotesa watu wengi. Yeye na Le Mutuz are my heroes. No time kufurahisha watu - who don't give a f**ck anyway...
 
Kuotesha

Sia miche kwenye kitalu, kasha hamishia shambani inapokuwa na urefu wa sentimita 30. Chomeka mche kwenye ardhi kina cha kati ya sentimeta 1 – 2 chini ya udongo kwenye shimo uliloandaa. Hii itasaidia mche kupata joto la wastani na kuepuka mche kuoza na kufa. Baadhi ya wakulima hupenda kuotesha mipapai moja kwa moja shambani.
 
Endapo unapenda kufanya hivyo, zingatia haya;

Kabla ya kupanda mbegu weka mchanganyiko wa majivu na mbolea ya kuku au mboji sehemu unayokusudia kupanda. Mbolea husaidia ukuaji haraka na jivu husaidia kukinga mipapai na magonjwa.
 
Endapo unapenda kufanya hivyo, zingatia haya;

Kabla ya kupanda mbegu weka mchanganyiko wa majivu na mbolea ya kuku au mboji sehemu unayokusudia kupanda. Mbolea husaidia ukuaji haraka na jivu husaidia kukinga mipapai na magonjwa.
 
Panda mbegu 3 – 4 kila shimo, hii ni kwa sababu miche mingine inaweza kufa kutokana na magonjwa, kuliwa na wadudu au ikaota mipapai dume.
 
Nafasi

Shimo hadi shimo, liwe na nafasi ya mita 3, na mstari hadi mstari mita 3. Hii itasaidia miche ya mipapai kukua vizuri bila kusongamana.
 
Punguza miche

Baada ya miezi 3 – 5 tangu kupanda, mipapai itaanza kutoa maua na hapo jinsia ya mipapai itajulikana. Inapofikia wakati huo inabidi kupunguza mipapai mingine hasa midume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…