G'morning!!
Wale wa ibada/misa za asubuhi amkeni tukasali.
Mungu ni mwema, nimeamka salama.
Yes Mkuu
Na tayari imeshakuwa sold out! Huyu Mheshimiwa ndio maana ni Billionaire, si mchezo!
View attachment 724509
Ana bahati ya kupendwa sana hata baada ya retirement. Alivyo mkali na Nike wanavyompenda hata binti yake kapata deal Nike ya viatu vya wanawake.
Umemaanisha "Mnakaa Balemo"?Yaani vitoto vya siku hizi havijui kabisa..Salamu tu shida..
Kukaya bhalemola?
mwambie ageukie huku
Goodnight [emoji42] [emoji42]G'morning!!
Wale wa ibada/misa za asubuhi amkeni tukasali.
Mungu ni mwema, nimeamka salama.
Ngoja nianze kuipakua hii asee.GOOD READ: RED SPARROW (SPY NOVEL)
Hii imetengenezewa hadi movie yake:
CC: Bilionea Asigwa , jakitoo