Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aiseee
 
Facebook Inakulipa Pesa Ukiweza Kudukua Tovuti au App Yake
Kama wewe ni mtaalamu wa mtandao na unaweza kufanya udukuzi, basi ni vyema kuweka nguvu zako kwenye vituvya msingi kama kudukuwa tovuti au app ya facebook kwani facebook itakulipa pasa ukiweza kufanya hivyo.
 
I will try lakini kuacha forex ni dhambi
 
Enheee... Kwenye ile sheria Mungu aliumba watu "mme na mke",baada ya kupumzika sasa,ile siku ya saba,sasa hapo Mungu akaamua kuumba kitu kwa mfano wa 8,maana ilikuwa siku ya nane.
Kwa ujeuri kabisa,Mungu akapiga kitu cha " kisichana" cha haja.Yaani akaumba bonge la demuuuu... Sijui ndo huyo hapo?

Ila akayashauri mafisi"Usitamani msichana asiye kuhusu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…