carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Mwakaleli nammudu huyo[emoji23][emoji23]Hahahah ukitabiri jiandae na dongo la mwakaleli
Mwakaleli nammudu huyo[emoji23][emoji23]
Namuogopa yule mwingine tu
Mwakaleli nammudu huyo[emoji23][emoji23]
Namuogopa yule mwingine tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti mwanangu,hivi ni mwanangu ama "mwanangu"Hahahaha koromije boy hahaa
Yule hata sio wa kuogopa,ita mkuu tu kisha kimbilia kwa kitoo utasikia wanaitana mwanangu,bintiiiii hahahaah
Aaah mgumu unaniangushaaa
Hahahaha hapo ni " mwanangu" acha tu mambo ni motrooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti mwanangu,hivi ni mwanangu ama "mwanangu"
Mwenyekiti mwenyewe mlaini tu,meona huko analalamika "moyo umedondoka",halafu mwenye ujumbe kapotezea[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwaga mchele huo
Wala usihofu, ugumu uko palepale! Lawama zote namtupia shetani kwa kutaka kunitia majaribuni! [emoji1][emoji1]
Weee shetan popote ulipo shindwa na legeaa tenaaaa chukua ka avatar ka yego weka kwapan kwa le mbebez vuruga vuruga huko tupia kwenye kiatu cha muhenga the list nusisha mpaka pepo atoke
Hahaha na hawez rudi tenaEeh, huyu shetani hata kama ni kisirani kwa maombi haya lazima akimbie tu! [emoji1][emoji1]
Namla sana, na vipaja vyake vifupi fupi.Na wewe unamlaga?
Mi napendaga kumshikilia ile mihips... Nyama ya kifuani imemjaa hadi raha
Nyama ya bata ni tamu nyama ya bataa[emoji445] [emoji443] [emoji444] [emoji443] [emoji445] [emoji445] [emoji444]
Siku ya ushindi wa Taifa StarsSiku inaenda ukingoni