HaahahahaLeo hampo,nguja nimwage magazeti mia hapa. U know life iz gud
Walimmwagia barafu. DuhFAHAMU : Birthday yamtokea puani Zabibu Kiba baada ya kumwagiwa maji na watu wake wa karibu na kuibua gonjwa ! “Unajua baada ya kumwagiwa maji vile, usiku sikuweza kulala kabisa kwa sababu nilibanwa na kifua mno, ilibidi niende hospitalini kuchomwa sindano ili kipoe ndiyo nikapata nafuu kidogo,” alisema Zabibu akizungumza na GPL