Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wapi nilipoandikia kuhusu kukuchukia? Acha kujibaraguza. Siwezi kukucompare juh.a wewe na Pyaar. Pyaar ni mstaarabu na muungwana tofauti kabisa na wewe ZERO BRAIN. Jambo halikuhusu chochote kile unalirukia na kuanza kumwaga povu lako zito.
Ukinidiss me nakupa like coz we huoni light... [emoji441] [emoji444] [emoji4]
( freestyle rap )
 
Kwenye hali ya furaha kuna aina ya mawimbi yanakuzunguka na kwenye hali ya wasiwasi au kwenye hali ya kuwa na wazo lolote baya au hali yoyote mbaya nayo inabadilisha nguvu ya mwili inayokuzunguka. Kazi ya nguvu hii ni kulinda mwili na kusambaza ujumbe katika hali ya mawimbi kwenye kila kona ya mwili.
 
Mtu mwenye kuumwa mfano kansa ana mawimbi yanayomzunguka 42Hz au zaidi na ukiwa na mawazo au fikra hasi unakuwa unapunguza mawimbi -12Hz na ukiwa na mawazo chanya unakuwa umeongeza mawimbi +10Hz. Hivyo mawimbi yetu yanachangiwa na hali ya miili yetu pamoja na hali ya Akili na ufahamu wetu.

Ni kwanini watu wengi hushikiliwa mawazo yao hasa mawazo mabaya badala ya kushikilia mawazo mazuri?
 
Buddha akamjibu kwa ukarimu
"Mwanafunzi wangu ni kila anayependa kujifunza, nifuate uwe mwanafunzi wangu."
 
Umeshawahi kuongea na nafsi yako kibinafsi? Umeshawahi kujaribu kuchunguza kinachoendelea akilini mwako? Mfano kuchunguza unawaza nini? Kuna wakati unakuta unawaza mawazo mabaya na unaweza ukajisemea mwenyewe "Acha kuwaza mawazo mabaya, hayana umuhimu" huku ukijiambia mwenyewe.Unaweza kuwa makini na mawazo yako na kuyauliza kama unavyouliza mtu mwingine au kuyachunguza kama unavyochunguza hali ya nje.
 
Kushindwa Kuwa makini na Jambo.
Tunaposhindwa kuelewa jambo kwa kina wengi hujikuta wanaweka fikra duni na kushikiliwa na mawazo hasi. Tunaposhindwa kuelewa hali iliyopo basi tunaweza kuzidi kutawaliwa na wasiwasi, hasira, ujinga n.k lakini tukielewa jambo au hali kwa uhalisia wa pande zote mbili yaani kwa upande unaotetea na upande unaopinga au kwa upande hasi na upande chanya tunaweza kufanya maamuzi sahihi na kutoshikiliwa na mawazo bila kujiongoza.
 
Hahahahahahaha lol! unajua baada ya buku 7 kumwaga humu na MACCM kuweka bajeti maalum kwa hawa watu wasiojitambua ndiyo nikafunguka macho kumbe yanayoandikwa humu yanawagusa na kuwapa wakati mgumu. Hata nia yao ya kutaka kufungia mitandao ni kupambana na hoja zenye nguvu zinazoandikwa mitandaoni na hasa hapa JF. Hivyo huwa napigilia na msumari kabisa 🙂🙂 Hata Sizonje katika baadhi ya hafla yake kaongea mambo ambayo yaliandikwa humu. Hivyo wacha tu tumlime labda atabadili mueleko. Kona hii akina siye, kona ile Maaskofu na labda Masheikh mpaka kieleweke.

Hahaha i'm good mkuu,
Nimekuona kule Siasani umevimba kweli..
Inabidi tu uvumilie, awamu hii changamoto bwana
 
Badili wazo au Fikra mbaya kwa Kuipa Fikra nzuri/chanya kipaumbele.
Huwezi kuondoa mawazo au fikra mbaya kwa fikra mbaya bali vyote hivyo huondolewa kwa fikra nzuri. Mfano unapoona hasira inakutawala, ili kuiondoa hasira weka mtazamo wako kwenye upendo na hasira yenyewe itaondoka bila kipingamizi. Ibadili hasira kwa kutanguliza upendo na hasira yenyewe itaondoka kwani hakuna upendo unaokaa na hasira. Kama vile hakuna giza linalokaa na mwanga ndivyo hakuna mawazo au fikra mbaya inayoweza kukaa na fikra nzuri. Fikra nzuri huondoa fikra mbaya na mawazo mazuri huyaondoa mawazo mabaya
 
Badili wazo au Fikra mbaya kwa Kuipa Fikra nzuri/chanya kipaumbele.
Huwezi kuondoa mawazo au fikra mbaya kwa fikra mbaya bali vyote hivyo huondolewa kwa fikra nzuri. Mfano unapoona hasira inakutawala, ili kuiondoa hasira weka mtazamo wako kwenye upendo na hasira yenyewe itaondoka bila kipingamizi. Ibadili hasira kwa kutanguliza upendo na hasira yenyewe itaondoka kwani hakuna upendo unaokaa na hasira. Kama vile hakuna giza linalokaa na mwanga ndivyo hakuna mawazo au fikra mbaya inayoweza kukaa na fikra nzuri. Fikra nzuri huondoa fikra mbaya na mawazo mazuri huyaondoa mawazo mabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…